"Shule iliyonyooka" Ndio ipi hiyo Gambo? Ni PhD za UDOM au Degree za OUT?

"Shule iliyonyooka" Ndio ipi hiyo Gambo? Ni PhD za UDOM au Degree za OUT?

Kweli kwenye siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu, enzi za jiwe Gambo alijitahidi sana kujipendekeza kwa Konda boy ili tu nae aonekaniwe kwa baba wa mtoto pendwa
 
Kuna mtu kasababisha😂😂😂😂😂😂😂😂Kuna mtu kasababisha😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kuna mtu kasababisha😂😂😂😂😂😂😂😂Kuna mtu kasababisha
 
Hakuna kinachofanyika hapo zaidi ya vita ya chini chini ya kutengenezeana visa vya Kiafrika mara huyu awe na madiwani hawa mara yule wale tafrani tu si unajua njaa ndio inawafanya madiwani wasiwe na misimamo sehemu ipi ya kusimama na hofu imewajaa..
Wamekosa hekima Kwa umri wao na uzoefu wao katika siasa walibidi kuwa hekima zaidi kwakuwa wanachogombania hapo hakipo
 
Makonda kasoma Chuo cha Ushirika Moshi na baadae Chuo cha Uongozi Magogoni Sasa utasemaje Shule yake haijanyooka?
Kwani wewe umemaliza darasa la 7D juzi au unamahaba yaliyopitiliza mpaka unashindwa kumuelewa gambo ?

Ingia basi hata youtube andika Makonda vs Gwajiboy Utajua gambo anamaanisha nini
 
Tamaa ya madaraka tu kaka na kutengenezeana chuki tu zisizo na maana kabisa.

Hizo mentality zao sio nzuri wanabidi kujua Madaraka ni Kama Nyama ya tembo hauwezi kuila peke yako ukaimaliza.

Wamekosa Hekima , sifikirii Kama ni sahihi kudharauliana. Kiasi hiki.

Pia Gambo anachovuna ni karma aliwahi kumfanyia kitu Kama hiki God bless Lema miaka ya nyuma alipokuwa RC.

Tabia ya Ku-Out smart kiongozi wako huwa sio nzuri
 
Hizo mentality zao sio nzuri wanabidi kujua Madaraka ni Kama Nyama ya tembo hauwezi kuila peke yako ukaimaliza.

Wamekosa Hekima , sifikirii Kama ni sahihi kudharauliana. Kiasi hiki.

Pia Gambo anachovuna ni karma aliwahi kumfanyia kitu Kama hiki God bless Lema miaka ya nyuma alipokuwa RC.

Tabia ya Ku-Out smart kiongozi wako huwa sio nzuri
Gambo anavuna alichopanda kipindi cha Magu cha kumdharau Lema na kumuweka Jela kila mara mpaka wakapatanishwa.
 
Mnadharau sana udom ila tukija kwenye uhalisia hata usome wapi muhimu ni kushinda mitihan ya maisha.
 
Ni vema tukapata Ufafanuzi wa " Shule iliyonyooka" Ili na sisi Jimbo la Kawe na pale Iringa Mjini tusije kuchagua Mbunge wa Elimu ya " hapa na pale"

Kwa Sasa Kawe tunaye Dr Gwajima PhD na Iringa Mjini Dr Jesca PhD

Nimekaa pale 🐼
Dr.Gwajima hakuchaguliwa
 
alimaanisha shule ya kuhudhuria darasani, sio shule ya kununua vyeti vyenye majina ya watu. wewe unaitwa daudi albert bashite, ghafla unasomeka makonda. au unaitwa madilu, ghafla unasomeka mwigulu mchema. n.k ni mfano tu lakini.
Kwani katika mfano wako umtaje mwigulu kutakuwa kuna jambo hapa, au umetumwa kumpakazia ubaya mr president ajae mkuu
 
Mbona hamkumjibu Magufuli wakati ule??
Waliotumbuliwa siyo kwamba ni kwa ajili ya majina bali ilikuwa mtu haja da kabisa shule anachukua cheti cha mtu na kujidai kwamba kumaliza form 4. Wengine walitumbuliwa kutokana na cheti cha kidato cha 4 kutoonekana. Lakini walikuwa hawaulizi hata kama una jina la mtu almradi vyeti vyako viwe vimenyooka!
 
Back
Top Bottom