johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
alimaanisha shule ya kuhudhuria darasani, sio shule ya kununua vyeti vyenye majina ya watu. wewe unaitwa daudi albert bashite, ghafla unasomeka makonda. au unaitwa madilu, ghafla unasomeka mwigulu mchema. n.k ni mfano tu lakini.Ni vema tukapata Ufafanuzi wa " Shule iliyonyooka" Ili na sisi Jimbo la Kawe na pale Iringa Mjini tusije kuchagua Mbunge wa Elimu ya " hapa na pale"
Kwa Sasa Kawe tunaye Dr Gwajima PhD na Iringa Mjini Dr Jesca PhD
Nimekaa pale 🐼
Makonda kasoma Chuo cha Ushirika Moshi na baadae Chuo cha Uongozi Magogoni Sasa utasemaje Shule yake haijanyooka?alimaanisha shule ya kuhudhuria darasani, sio shule ya kununua vyeti vyenye majina ya watu. wewe unaitwa daudi albert bashite, ghafla unasomeka makonda. au unaitwa madilu, ghafla unasomeka mwigulu mchema. n.k ni mfano tu lakini.
PhD za wapi mkuuNi vema tukapata Ufafanuzi wa " Shule iliyonyooka" Ili na sisi Jimbo la Kawe na pale Iringa Mjini tusije kuchagua Mbunge wa Elimu ya " hapa na pale"
Kwa Sasa Kawe tunaye Dr Gwajima PhD na Iringa Mjini Dr Jesca PhD
Nimekaa pale 🐼
Nani anaitwa Daudi Bashite? Mtafute Gwajiboy akufafanulie.Makonda kasoma Chuo cha Ushirika Moshi na baadae Chuo cha Uongozi Magogoni Sasa utasemaje Shule yake haijanyooka?
Shule ya msingi hiyo kawaida sana 😄Nani anaitwa Daudi Bashite? Mtafute Gwajiboy akufafanulie.
😂🤣Ni vema tukapata Ufafanuzi wa " Shule iliyonyooka" Ili na sisi Jimbo la Kawe na pale Iringa Mjini tusije kuchagua Mbunge wa Elimu ya " hapa na pale"
Kwa Sasa Kawe tunaye Dr Gwajima PhD na Iringa Mjini Dr Jesca PhD
Nimekaa pale 🐼
Kwanza tujue elimu yako wewe.Ni vema tukapata Ufafanuzi wa " Shule iliyonyooka" Ili na sisi Jimbo la Kawe na pale Iringa Mjini tusije kuchagua Mbunge wa Elimu ya " hapa na pale"
Kwa Sasa Kawe tunaye Dr Gwajima PhD na Iringa Mjini Dr Jesca PhD
Nimekaa pale 🐼
Wewe sijui una matatizo gani ?.Makonda kasoma Chuo cha Ushirika Moshi na baadae Chuo cha Uongozi Magogoni Sasa utasemaje Shule yake haijanyooka?
Alijisemea yule muhaya katika kile kitabu chake MAKUWADI NA MADALALI WA ELIMU.....Ni vema tukapata Ufafanuzi wa " Shule iliyonyooka" Ili na sisi Jimbo la Kawe na pale Iringa Mjini tusije kuchagua Mbunge wa Elimu ya " hapa na pale"
Kwa Sasa Kawe tunaye Dr Gwajima PhD na Iringa Mjini Dr Jesca PhD
Nimekaa pale 🐼
Alimaliza ka postgraduate kake diploma hapo Arusha.
Nice...Vita vyao vilianza muda kidogo sisi wengine wacha tuangalie tu mpaka mwisho wa episode hii..
Samia ondoa moja wapp watakuyumisha hawaWafanye Kazi kwa ufanisi na waache chuki wapendane kwakuwa lengo ni kuijenga nchi na nchi inajengwa na wasomi na ambao sio wasomi
Sasa linalohudhuria shule ni jina au mtu? Awe Bashite au Makonda jamaa limesoma!Nani anaitwa Daudi Bashite? Mtafute Gwajiboy akufafanulie.
Hakuna kinachofanyika hapo zaidi ya vita ya chini chini ya kutengenezeana visa vya Kiafrika mara huyu awe na madiwani hawa mara yule wale tafrani tu si unajua njaa ndio inawafanya madiwani wasiwe na misimamo sehemu ipi ya kusimama na hofu imewajaa..Nice...