Nimesoma Comments zenu nimecheka sana naomba nitoe majibu kwa Ujumla.
1.Milioni 500 inauzwa Shule na Eneo Hela 15,fahamu dhamani ya Ardhi husika lakini pia Shule imeshakuwa inafahamika so ukienda unaendelea kutoa huduma na sio unaanza kutangaza upya.[emoji16]
2.Hapo ni sehemu nzuri sana kwa Wanatumishi wa Umma maana ni karibu na Ofisi za Wizara pia Mji wa Serikali so kama kuna mtu ni Mtumishi wa Wizarani hapo patakuwa ni jirani na Makazi yao pia Ofisi.
3.Hakuna jangwa ni shele nzuri sana ila kama hauna hela unaweza kutoa kasoro nyingi mno lakini huwezi kuamini wenzio wanakuja kuona na wanasema wanalipaje hata kama haitakuwa inafika 500M ila wanafika bei zao na ndo maana tumeandika maongezi yapo.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Karibu Wakuu tena wekeza kwenye Ardhi ya Dodoma inaongezeka thamani kwa kasi sana.