ANDENDEKISYE C
Member
- Mar 5, 2012
- 90
- 23
Hii maada sio sahihi hata kidogo. Poleni kwa usumbufu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SHULE INAUZWA:-IPO KIBAHA
Ipo kwenye eneo la Hekari 15, ina madarasa 16, nyumba vyawalimu 14, na wanafunzi wapatao 300, ni shule ya sekondari. Bei ni Bilioni 2.7
Kwa mawasiliano na taarifa piga; 0653 234010
haina jina?
Cha ajabu nini sasa? mbona ni kitu cha kawaida tuAh WEwe mwizi hata wanafunzi unawauza? Pole wanangu na wadogo zangu. Ni shule zinazoanzishwa hazina plan zozote. Inawezekanaje unaanzisha shule hujui utaendaje, ishu nyeti kama hii inayohusu maisha ya watu?
Nashukuru kutoa namba yako itabidi tukuchunguze.
Na wanafunzi wanauzwa!!!SHULE INAUZWA:-IPO KIBAHA
Ipo kwenye eneo la Hekari 15, ina madarasa 16, nyumba vyawalimu 14, na wanafunzi wapatao 300, ni shule ya sekondari. Bei ni Bilioni 2.7
Kwa mawasiliano na taarifa piga; 0653 234010
Na wanafunzi wanauzwa!!!
Cha ajabu nini sasa? mbona ni kitu cha kawaida tu
Cha ajabu nini mkuu!?? anauza umiliki wa shule
umeipataje hii gharama bwashee, 2.7billion? Ukiwa na hii pesa unaweza kujenga hizo RONECA high schools za nguvu, rudia neno NGUVU , 5 zenye viyoyozo mpaka jikoni.Shule inaitwa RONECA girls High School. Kinachouzwa ni umiliki wa shule nategemea atakayenunua atafaidika na miundombinu na 'goodwill' ya shule.
Ah WEwe mwizi hata wanafunzi unawauza? Pole wanangu na wadogo zangu. Ni shule zinazoanzishwa hazina plan zozote. Inawezekanaje unaanzisha shule hujui utaendaje, ishu nyeti kama hii inayohusu maisha ya watu?
Nashukuru kutoa namba yako itabidi tukuchunguze.
Mkuu toa data kama unuza shule:
1) Iko Kibaha sehemu gani na umbali gani kutoka barabara ya lami
2) Ada ya shule iko je
3) Ina kidato mpaka cha ngapi
4) Matokeo latest ya shule yakoje na imekuwa ya ngapi kimkoa na kitaifa
5) Ina waalimu wenye uzoefu gani
6) Nini tofauti yake na shule za voda fasta (secondary za kata)
7) Kwa nini unauza shule? je waalumu, wanafunzi na wazazi wana taarifa?
8) Quality ya majengo ikoje (usikute madarasa yalikuwa ni mabanda ya kuku)
9) Toa registration number ya shule
Hiyo bei nayo mkuu jaribu kuwasiliana na wauza pembe za ndovu labda watahitaji.
Na wanafunzi wanauzwa!!!