Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RONECA mbona hiyo shule ilipoanza ilikuwa nzuri mno na ikifaulisha kulitokea nini?Shule inaitwa RONECA girls High School. Kinachouzwa ni umiliki wa shule nategemea atakayenunua atafaidika na miundombinu na 'goodwill' ya shule.
Ngoja nimsaidie kwenye matokeoMkuu toa data kama unuza shule:
1) Iko Kibaha sehemu gani na umbali gani kutoka barabara ya lami
2) Ada ya shule iko je
3) Ina kidato mpaka cha ngapi
4) Matokeo latest ya shule yakoje na imekuwa ya ngapi kimkoa na kitaifa
5) Ina waalimu wenye uzoefu gani
6) Nini tofauti yake na shule za voda fasta (secondary za kata)
7) Kwa nini unauza shule? je waalumu, wanafunzi na wazazi wana taarifa?
8) Quality ya majengo ikoje (usikute madarasa yalikuwa ni mabanda ya kuku)
9) Toa registration number ya shule
Hiyo bei nayo mkuu jaribu kuwasiliana na wauza pembe za ndovu labda watahitaji.