Mkuu toa data kama unuza shule:
1) Iko Kibaha sehemu gani na umbali gani kutoka barabara ya lami
2) Ada ya shule iko je
3) Ina kidato mpaka cha ngapi
4) Matokeo latest ya shule yakoje na imekuwa ya ngapi kimkoa na kitaifa
5) Ina waalimu wenye uzoefu gani
6) Nini tofauti yake na shule za voda fasta (secondary za kata)
7) Kwa nini unauza shule? je waalumu, wanafunzi na wazazi wana taarifa?
8) Quality ya majengo ikoje (usikute madarasa yalikuwa ni mabanda ya kuku)
9) Toa registration number ya shule
Hiyo bei nayo mkuu jaribu kuwasiliana na wauza pembe za ndovu labda watahitaji.