Dalali wa kimataifa
Member
- Apr 10, 2025
- 40
- 44
Hiyo bei hata lugumi sii kama hawezi hatakiAsante kwa tangazo, kweli jf kuna mabilionea aisee!
Ila sidhani kama akina Lugumi wapo humu.
Kwani ulijipoteza mkuu ?Duuh, acha niendelee kujitafuta
😂 Daah akipunguza bei hata Afike kwenye 20 tu utaniambiaNakucheki pm
Naomba ninunulie jamani 🥲eti billion ngapi mkuu?
Babes shikamoo naomba msaada wakoBilioni 28! Si mchezo
Ngoja nimek deal😂 Daah akipunguza bei hata Afike kwenye 20 tu utaniambia
Madalali wa Bongo walivyo unaweza kukuta hapo kaweka cha juu bilioni mbili.Bilioni 28! Si mchezo
Hahaha
Si ya kawaida sana kwa vaileth nafaka ?
Unahitaji msaada wa bilioni ngapi?Babes shikamoo naomba msaada wako
Ukute thamani ni BIL 20, Dalali anataka naye aambulie hata 2b akiuza bil 22SCHOOL FOR SALE or RENT as YARD/ SHULE INAUZWA.
IPO MBAGALA-TEMEKE
Eka 80
Fully fenced
Linagusa lami
Full DOCUMENTS/ HATI kamili
Panafaa
Parking ya malori
Kiwanda
Hospitali
BEI/ PRICE NI TSH 28b/
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
#tiles #realestate #school #houseforsale #property