Shule inauzwa mbezi beach upande wa chini clean title died sqmt 9,000 price billion 7

Shule inauzwa mbezi beach upande wa chini clean title died sqmt 9,000 price billion 7

Dalali_wa_kimataifa

Senior Member
Joined
Apr 16, 2025
Posts
182
Reaction score
176
SHULE INAUZWA
MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI
CLEAN TITLE DIED
SQMT 9,000
PRICE BILLION 7
#houseforsale #realestatebroker #tanzania #dalali #viral_video_tiktok_treding

 
Bongo tunahitaji MAMLAKA kamili ya kusimamia Real estate, Kuna utakatishaji sana wa pesa huku thamani ya vitu vinavyo uzwa haviendani na gharama halisia.

Anyway Billion 7 si bora uanzishe shule yako kabsa na chenji inabaki.

Samahani Mkuu kwa kukuharibia biashara.
 
Badilisha isomeke DEED na sio DIED tafadhali waambie hata mods watakubadilishia hiyo ya headline
 
Mbona bei za haya mavitu ni kubwa sana kuliko hata mtu akianzisha ujenzi wake mwenyewe.

Yani anajenga shule kali kuliko hiyo kwenye eneo kubwa zaidi
 
Back
Top Bottom