Mrekebishaji
Senior Member
- Mar 19, 2009
- 168
- 63
Nina ndoto za kuanzisha shule. Nina ndoto hiyo muda mrefu...sasa nimekuta mtu anauza shule millioni mia saba, ningekuwa na fedha ningenunua na kama naweza kupata mkopo ninajua ndani ya miaka mitatu tu ninaweza kuwa nimeshalipa tayari fedha zote.
Naombeni ushauri
Naombeni ushauri