INAUZWA Shule inauzwa wilaya ya Temeke

Mmhh mbona kama nishawahi kufundisha hapo? Sio naniliu kweli hapo
 
Jiulize, mtu anauza shule anataka kununua nini?.
Bila shaka mmiliki anataka kuhama nchi
OK. Wamiliki wa 3b huku hatupo.
 
Mbona picha kama za kuiba iba hivi...!?
Kwa sasa inawanafunzi au imefungwa?
Biashara ya shule inalipa iwapo wanafunzi wanafanya vizuri sana katika masomo ila kama ufaulu ni wa chini wazazi watakuwa wanahmisha watoto kwenda shule zingine. Kwa hiyo ni kunagalia kama aendelee na uendeshaji wa shule au auaze afanye biashara nyingine
 
Cheki na Saniniu Lazier sijui nilisikia anampango wa shule mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…