kasyabone tall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2009
- 254
- 63
Ninashida ya kupata shule inayoweza kumpatia nafasi ya kufanya mtihani wa form II mtu aliyewahi maliza form IV. Ninafanya hivi kwa sababu kuna mtu ninaetaka kumsaidia kielimu lakini nahitaji nimrudishe shule kama school candidate. Ningependa sana kupata msaada kwa shule ninayoweza pata nafasi hasa kwa mkoa wa Morogoro. Nitafurahi sana kama nitapata msaada mapema.