Shule inayoweza kumuadmit mtu aliye maliza form IV kwa ajili ya mtihani wa form II moro

Shule inayoweza kumuadmit mtu aliye maliza form IV kwa ajili ya mtihani wa form II moro

kasyabone tall

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2009
Posts
254
Reaction score
63
Ninashida ya kupata shule inayoweza kumpatia nafasi ya kufanya mtihani wa form II mtu aliyewahi maliza form IV. Ninafanya hivi kwa sababu kuna mtu ninaetaka kumsaidia kielimu lakini nahitaji nimrudishe shule kama school candidate. Ningependa sana kupata msaada kwa shule ninayoweza pata nafasi hasa kwa mkoa wa Morogoro. Nitafurahi sana kama nitapata msaada mapema.
 
Ninashida ya kupata
shule inayoweza kumpatia nafasi ya kufanya mtihani wa form II mtu
aliyewahi maliza form IV. Ninafanya hivi kwa sababu kuna mtu ninaetaka
kumsaidia kielimu lakini nahitaji nimrudishe shule kama school
candidate. Ningependa sana kupata msaada kwa shule ninayoweza pata
nafasi hasa kwa mkoa wa Morogoro. Nitafurahi sana kama nitapata msaada
mapema.

Mkuu, nenda kwa father Ricardo au father pekupeku ndo jina maarufu hapa moro,shule yake ipo nanenane,bei poa sana na watu wanachana sana,mpeleke pale utapata matokeo unayoyatarajia
 
Back
Top Bottom