Ninashida ya kupata
shule inayoweza kumpatia nafasi ya kufanya mtihani wa form II mtu
aliyewahi maliza form IV. Ninafanya hivi kwa sababu kuna mtu ninaetaka
kumsaidia kielimu lakini nahitaji nimrudishe shule kama school
candidate. Ningependa sana kupata msaada kwa shule ninayoweza pata
nafasi hasa kwa mkoa wa Morogoro. Nitafurahi sana kama nitapata msaada
mapema.