Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,540
kama anataka kuchukua PCM au PCB, na kama anahuakika wa kupata grade A katika hayo masomo mwambie ajaze kati ya kibaha, mzumbe au ilboru, ila kibaha ni nzuri zaidi kwa maradhi.
Mkuu sijakusoma hapo mwisho, maradhi?