kama anataka kuchukua PCM au PCB, na kama anahuakika wa kupata grade A katika hayo masomo mwambie ajaze kati ya kibaha, mzumbe au ilboru, ila kibaha ni nzuri zaidi kwa maradhi.
KAHORORO BOYS HIGH SCHOOL, located at bukoba municipal in kagera region?YAAANI WATU BADALA YA KUSEMA SHULE AMBAYO NI NZURI KWA WAVULANA YENYE MASOMO YA ARTS TANZANIA MNAANZA KUTAJA SHULE MLIZOSOMEA ADVANCE
Wadau naomba kukuliza
nina mwanangu wa kiume anamaliza form four mwaka huu TUSIIME nakuna
kichwa ni shule gani nzuri ya kumpeleka kwa ajili ya A-Level naomba
mwenye ufahamu anijuze. ahsateni
Mtihan wenyewe ajafanya ushaanza kumtafutia shule! Subiria majibu .
tosamaganga,mara sec,songea boys,old moshi.nk.
ndo ulikosoma?Ndanda boys, Minaki
Ndanda boys, Minaki