elimu jumuish ni elimu inayojumuisha walemavu wa aina zote na wale wa kawaida wanasoma katika chumba kimoja cha darasa na kufundshwa na mwalimu mwenye ujuz wa elimu jumuishi
Kwa hapo dar unaweza chemka, kama proposal yako ipo flexible nakushauri nenda pale ruvu secondary -mlandizi karibu na ruvu darajani, sasa ukifika pale waombe wakuelekezeshule zingine za sekondary ambazo ni inclusive school.! Kikubwa nikupata data achana na mambo ya u-darisalaaamu...haitokusaidia....kila research eti dar dar dar...hopeless!
Wewe jamaa mimi naona bado haujaiva huko darasani na course ya research imekupitia kushoto kabisaa! It is so clear...when you want to formulate research questions or think on the research design ..whether quantitative or qualitative research...ni lazima uangalie namna ya kuweza kukusanya hizo data zako....like who will be your participants/respondents, where will you get them? sample size, n.k sasa wewe eti unasema upo katika hatua ya kuandika dissertation..sasa unaandika madudu gani wakati data huna na ndio kwanza unatafuta sehemu za kuapatia data? Pole sana kijana.....but sio tatizo lako nadhani ndivyo elimu ya bongo na div.5 ndio inatufikisha hapa!
kwa hapo dar unaweza chemka, kama proposal yako ipo flexible nakushauri nenda pale ruvu secondary -mlandizi karibu na ruvu darajani, sasa ukifika pale waombe wakuelekezeshule zingine za sekondary ambazo ni inclusive school.! Kikubwa nikupata data achana na mambo ya u-darisalaaamu...haitokusaidia....kila research eti dar dar dar...hopeless!