Shule jumuishi za sekondari katika mkoa wa Dar es Salaam (Inclusive schools in Dar es Salaam region

Iruru

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2014
Posts
1,471
Reaction score
2,891
Heshima kwa wote,

Mimi ni mwanafunzi wa ngazi ya uzamili katika chuo kimojawapo hapa nchini. Nipo katika ngazi ya kufanya utafiti (dissertation writing). Eneo ninalofanyia ni juu ya elimu jumuishi yaani (inclusive education).

katika shule za sekondary za Tanzania. Eneo la utafiti ni Dar es Salaam.

Naombeni sana mtu yeyote mwenye kujua shule ambazo zinaendesha mfumo huo wa elimu anisaidie nizifahamu; sitajali ziwe za serikali au watu binafsi.

Asanteni sana, JF kama kawaida nategemea kupata majibu hakiki.
 
Elimu jumuishi ni elimu ya namna gani? Tufafanulie hapo, halafu tutajua ni shule zipi zina hiyo kitu ili tuweze kukutajia
 
elimu jumuish ni elimu inayojumuisha walemavu wa aina zote na wale wa kawaida wanasoma katika chumba kimoja cha darasa na kufundshwa na mwalimu mwenye ujuz wa elimu jumuishi
 
okay,nnayoifahamu ni Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko, ipo Ilala, ni ya serikali.
 
Wewe jamaa mimi naona bado haujaiva huko darasani na course ya research imekupitia kushoto kabisaa! It is so clear...when you want to formulate research questions or think on the research design ..whether quantitative or qualitative research...ni lazima uangalie namna ya kuweza kukusanya hizo data zako....like who will be your participants/respondents, where will you get them? sample size, n.k sasa wewe eti unasema upo katika hatua ya kuandika dissertation..sasa unaandika madudu gani wakati data huna na ndio kwanza unatafuta sehemu za kuapatia data? Pole sana kijana.....but sio tatizo lako nadhani ndivyo elimu ya bongo na div.5 ndio inatufikisha hapa!
 
Kwa hapo dar unaweza chemka, kama proposal yako ipo flexible nakushauri nenda pale ruvu secondary -mlandizi karibu na ruvu darajani, sasa ukifika pale waombe wakuelekezeshule zingine za sekondary ambazo ni inclusive school.! Kikubwa nikupata data achana na mambo ya u-darisalaaamu...haitokusaidia....kila research eti dar dar dar...hopeless!
 
Mkuu asante kwa msaada wako, nitaufanyia kazi
 
Wewe jamaa mimi naona bado haujaiva huko darasani na course ya research imekupitia kushoto kabisaa! It is so clear...when you want to formulate research questions or think on the research design ..whether quantitative or qualitative research...ni lazima uangalie namna ya kuweza kukusanya hizo data zako....like who will be your participants/respondents, where will you get them? sample size, n.k sasa wewe eti unasema upo katika hatua ya kuandika dissertation..sasa unaandika madudu gani wakati data huna na ndio kwanza unatafuta sehemu za kuapatia data? Pole sana kijana.....but sio tatizo lako nadhani ndivyo elimu ya bongo na div.5 ndio inatufikisha hapa!

Silengi kubishana na ww ila nafikiri pia nawe una upungu wa uelewa mahali fulani. nimesema niko katika stage ya kuandika dissertation, kwa maana nyingine ni kwamba tayari nilisha kamilisha masomo kwa njia ya coursework. Sasa sijui ww dissertation writing unaitafsri kwa namna ipi? Kuna hatua nyingi, ikiwa ni pamoja na kuandika proposal, kukusanya data na baadaye uchambuzi na uandishi wa tafiti yako. Hapa ndo npo katika stage ya kwanza kabisa kutafuta ni wapi ninaweza pata data ninazohitaji kwa ajili ya kudevelop propasal yangu na hatua nyingine za hapo baadaye. Nakushukuru pia kwa majibu yako, labda nawe utakuwa umepata shule kidogo leo hapa. Ila pia kwa maana ya dv. 5 hakuna ambayo itakuwa imefika level ya master kwa sasa, hii ni kwa taarifa tu
 
elimu jumuish ni elimu inayojumuisha walemavu wa aina zote na wale wa kawaida wanasoma katika chumba kimoja cha darasa na kufundshwa na mwalimu mwenye ujuz wa elimu jumuishi

Mkuu shukrani kwa kutoa darasa pia!
 
Mleta mada acha uvivu, tembeza hiyo miguu utapata tu hizo data.

Mkuu kutembea ntatembea ila pia msaada wako ni muhimu kwa kuanzia kama unazijua unaweza kunipa direction ikanisaidia sana
 
kwa hapo dar unaweza chemka, kama proposal yako ipo flexible nakushauri nenda pale ruvu secondary -mlandizi karibu na ruvu darajani, sasa ukifika pale waombe wakuelekezeshule zingine za sekondary ambazo ni inclusive school.! Kikubwa nikupata data achana na mambo ya u-darisalaaamu...haitokusaidia....kila research eti dar dar dar...hopeless!

ushauri mzuri, lakini mpe moyo badala ya kumkatisha tamaa.
 
Wewe jamaa mimi naona bado haujaiva huko darasani na course ya research imekupitia kushoto kabisaa! It is so clear...when you want to formulate research questions or think on the research design ..whether quantitative or qualitative research...ni lazima uangalie namna ya kuweza kukusanya hizo data zako....like who will be your participants/respondents, where will you get them? sample size, n.k sasa wewe eti unasema upo katika hatua ya kuandika dissertation..sasa unaandika madudu gani wakati data huna na ndio kwanza unatafuta sehemu za kuapatia data? Pole sana kijana.....but sio tatizo lako nadhani ndivyo elimu ya bongo na div.5 ndio inatufikisha hapa!

lakini aliomba majina ya shule na sio hizo procedures ulizozi list,tumejua unajua lakini hujamsaidia mwenzako!!!
 
Back
Top Bottom