Shule kama Precious Blood, Anwarite Girls na Maua Hazina Pre form one

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Hizi Shule Precious Blood Kibaha, feza, anwarite, maua hazina mambo ya pre form one lakini zinaongoza kuwa na matokeo mazuri hizi zingine zinazofanya pre form one zinakwama wapi?
 
First of all hizo shule zinachukua the best performers ukiachalia mbali juhudi na mbinu zao zingine
 
Pre form one hakunaga cha maana. Mtoto kama katoka vizuri shule ya msingi, hiyo haina jipya kabisaa. Na hata kama hajatoka vizuri hiyo si solution.
 
Hizi Shule Precious Blood Kibaha, feza, anwarite, maua hazina mambo ya pre form one lakini zinaongoza kuwa na matokeo mazuri hizi zingine zinazofanya pre form one zinakwama wapi?
Kimsingi,pre form one sio ticket ya kujiunga na hizo shule,wao wanatak cream tupu
 
Hizi Shule Precious Blood Kibaha, feza, anwarite, maua hazina mambo ya pre form one lakini zinaongoza kuwa na matokeo mazuri hizi zingine zinazofanya pre form one zinakwama wapi?
Wanatengeneza pesa mkwamo hakuna
 
Hizi Shule Precious Blood Kibaha, feza, anwarite, maua hazina mambo ya pre form one lakini zinaongoza kuwa na matokeo mazuri hizi zingine zinazofanya pre form one zinakwama wapi?
Pre form one sio kigezo cha kufaulu, pre form one ni sehem ambayo watoto hasa wa St. Kayumba huenda ili kupata walau ka mwaga kuhusu form one lkn hamna cha maana cha kumfanya mtoto afaulu kuzid ambaye hajaenda hiyo pre form one.
 
Back
Top Bottom