Shule msingi yakosa choo miaka 5.

Udaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
725
Reaction score
109
Shule ya msingi mwasa kata ya kidete station tarafa ya kidete wilaya ya kilosa mkoa wa morogoro haaina choo takriban miaka 5 walimu na wanafuanzi wanajisaidia vichakani shulae iyo ina wanafunzi takriban 220 viongozi wanalifahamu ilo ila wamelifumbia macho. Tunawaomba wahusika mlifanyie kazi swala hili kwa manufaa ya wana kijiji waliopo na vizazi vyao vijavyo. Hili ni janga.picha nitaituma baadaye.
 
Wanaongozwa na chama gani?wazazi waende kuonana na kamati ya shule.
 
Ndio maana watoto wetu wanafeli! Wanangoja serikali ije iwajengee ili hali wanaoaibika ni wao. Jamani, kuna vitu hata watumishi wahusika tunapaswa kujipanga na tukiweza tufanye kwa kushirikiana na wazazi wa watoto wanaofundishwa shuleni hapo.
 

Hao waalimu wanafundisha nini? Uongoz wa shule ulichukua hatua gani? Wakati mwingine haya ni mambo yaliyo ndan za uwezo wa wananchi. 5years halafu mpo tu. No way
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…