Shule ya msingi mwasa kata ya kidete station tarafa ya kidete wilaya ya kilosa mkoa wa morogoro haaina choo takriban miaka 5 walimu na wanafuanzi wanajisaidia vichakani shulae iyo ina wanafunzi takriban 220 viongozi wanalifahamu ilo ila wamelifumbia macho. Tunawaomba wahusika mlifanyie kazi swala hili kwa manufaa ya wana kijiji waliopo na vizazi vyao vijavyo. Hili ni janga.picha nitaituma baadaye.