Ibrahination master Member Joined Jan 26, 2020 Posts 11 Reaction score 27 Jan 30, 2020 #1 Mwalimu akiwa anafundisha mara kipepeo anatua ubaoni mwalimu anaamua kuwaambia wanafunzi "aisee vipepeo huwaga na rangi nzuri sana" mwanafunzi mmoja anaropoka "NDO UNAJUA LEO" Ungekuwa mwalimu ungemfanyaje?
Mwalimu akiwa anafundisha mara kipepeo anatua ubaoni mwalimu anaamua kuwaambia wanafunzi "aisee vipepeo huwaga na rangi nzuri sana" mwanafunzi mmoja anaropoka "NDO UNAJUA LEO" Ungekuwa mwalimu ungemfanyaje?
evart JF-Expert Member Joined Sep 4, 2016 Posts 2,838 Reaction score 2,772 Feb 1, 2020 #2 Mafi yao USA Sent using Jamii Forums mobile app