LuCKNOVICH
Senior Member
- Jan 22, 2011
- 104
- 11
Habari wana jamii.naomba msaada kwa anayeweza kurecomend shule nzur kwa boarding fm 1 na darasa la kwanza.wote wamesoma english medium primary na nursery.Natanguliza shukurani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
St Mary Goret
St Amedeus
Kibosho girls
Visitation girls
Kandoto Sayansi
Anwarite girls......Ni nyingi sana hasa za Kanisa..Hizo ni best of all the time...Nyingine mbali na za Kanisa tupa kuleee....
Uzuri gani...? Wa majengo au Uboua na ufaulu wa wanafunzi...Ngoja to google matokeo ya hiyo shule tuone huo uzuri..Eden Garden Education Trust.
Nzuri hii shule ipo moshi
na vipi za wavulana mkuu, manake siku hizi shule nyingi nzuri ni za wasichana
Mkuu kwashule za wavulana Seminary ni nyingi zaidi...Unajua kuna tofauti kati ya High school zinazomilikiwa na kanisa na Seminary....Kwa ushauri mzuri nenda Arusha si mbali na Moshi, kuna shule inaitwa Tengeru Boys ni hatari sana....Sema mwanao anatakiwa awe njema sana kichwani....Inamilikiwa na Holy Ghost Fathers...Kwasasa wameshafanya mtihani...
Asanteni wakuu nimepata pa kuanzia