Shule nzuri kilimanjaro region

Shule nzuri kilimanjaro region

LuCKNOVICH

Senior Member
Joined
Jan 22, 2011
Posts
104
Reaction score
11
Habari wana jamii.naomba msaada kwa anayeweza kurecomend shule nzur kwa boarding fm 1 na darasa la kwanza.wote wamesoma english medium primary na nursery.Natanguliza shukurani
 
Nenda Uomboni Secondary, ni shule inayochipuka ada yake ni ya chini na usimamizi wake ni imara.
 
St Mary Goret
St Amedeus
Kibosho girls
Visitation girls
Kandoto Sayansi
Anwarite girls......Ni nyingi sana hasa za Kanisa..Hizo ni best of all the time...Nyingine mbali na za Kanisa tupa kuleee....
 
St Mary Goret
St Amedeus
Kibosho girls
Visitation girls
Kandoto Sayansi
Anwarite girls......Ni nyingi sana hasa za Kanisa..Hizo ni best of all the time...Nyingine mbali na za Kanisa tupa kuleee....

na vipi za wavulana mkuu, manake siku hizi shule nyingi nzuri ni za wasichana
 
Eden Garden Education Trust.
Nzuri hii shule ipo moshi
 
Asanteni kwa contributions.nazidi pokea mawazo
 
na vipi za wavulana mkuu, manake siku hizi shule nyingi nzuri ni za wasichana

Mkuu kwashule za wavulana Seminary ni nyingi zaidi...Unajua kuna tofauti kati ya High school zinazomilikiwa na kanisa na Seminary....Kwa ushauri mzuri nenda Arusha si mbali na Moshi, kuna shule inaitwa Tengeru Boys ni hatari sana....Sema mwanao anatakiwa awe njema sana kichwani....Inamilikiwa na Holy Ghost Fathers...Kwasasa wameshafanya mtihani...
 
Nenda Kiriki secondary school. Iko vizuri sana.
 
Mkuu kwashule za wavulana Seminary ni nyingi zaidi...Unajua kuna tofauti kati ya High school zinazomilikiwa na kanisa na Seminary....Kwa ushauri mzuri nenda Arusha si mbali na Moshi, kuna shule inaitwa Tengeru Boys ni hatari sana....Sema mwanao anatakiwa awe njema sana kichwani....Inamilikiwa na Holy Ghost Fathers...Kwasasa wameshafanya mtihani...

Asante mkuu
 
Back
Top Bottom