Shule nzuri kwa olevel iringa

Shule nzuri kwa olevel iringa

Jibu

Member
Joined
Dec 22, 2013
Posts
13
Reaction score
4
Ni shule ipi ya binafsi ungenishauri nimpeleke mwanangu Iringa mjini kwa kidato cha kwanza 2014? zingatia pia maadili siyo ufaulu tu.
 
mpeleke ulete sec. ipo ifunda. kuna mafinga sem.,kuna ruaha sec, sasa sijui unataka town tu au?
 
hata Mtango pale njombe iko vizuri kitaaluma
 
Mpeleke Mtera Secondary, ipo Migoli-Mtera karibu na wanakozalisha umeme.
 
Ni shule ipi ya binafsi ungenishauri nimpeleke mwanangu Iringa mjini kwa kidato cha kwanza 2014? zingatia pia maadili siyo ufaulu tu.

Mwanao ni mzuri pia? Kwasababu kila shule kuna mtihani wa kuingia katika shule hiyo. Kama mzuri, Bethel (Mafinga) ni nzuri.
 
Consolatha Secondary school ninamdogowangu pale, St. Thomas nyabula ss, ulete secondary school, seminary most of them, st. Christina ss
 
Nawashukuruni wadau wote hapa na kijana nimempeleka pale Ruaha sekondari iringa mjini.
 
Ruaha na Highlands ndo shule nzuri za binafsi zilizobaki Iringa mjini, zingine hakunatofauti naza kata
 
Back
Top Bottom