Shule nzuri ya A level HGL HKL

Shule nzuri ya A level HGL HKL

ndekarishia

Senior Member
Joined
Feb 9, 2012
Posts
106
Reaction score
22
msaada wanaJF,
nina mpwa wangu (mtoto wa dada) mimi ndio ninayemsupport kwa kila kitu sasa matokeo yake ya form IV ana B moja, C tatu, D mbili na F moja na combination zilizokubali ni HGL au HKL, shule gani nzuri? private zaidi na yenye maadili
 
Shule yoyote inatomilikiwa na Kanisa Katoliki ni Bora ila kwasasa wameshafanya karibia shule zote interview......Na wanafunzi wameshaanza Ripoti shuleni..
 
msaada wanaJF,
nina mpwa wangu (mtoto wa dada) mimi ndio ninayemsupport kwa kila kitu sasa matokeo yake ya form IV ana B moja, C tatu, D mbili na F moja na combination zilizokubali ni HGL au HKL, shule gani nzuri? private zaidi na yenye maadili

Huna haja ya kuandika hayo kwenye red,hayatuhusu. Just ask shule nzuri ya HGK and HKL za private ni zipi. Tafuta Rosmini- iko Tanga, ya wakatoliki, nzuri sana.
 
Lete previous matokeo ya Form IV na VI...

2013 KIDATO CHA 4 hawana zero na KIDATO CHA 6 pia
kwa upande wa kdato 4 div 1. 9 II 58 na III 86
KDATO CHA 6
I.4 II 56 III 96
SASA KUNA MSHENZ ANACHEKA NAWASIWAS NAE HUENDA
 
Back
Top Bottom