MATO GOODLUCK BILASI
Member
- Aug 24, 2013
- 30
- 1
Kilimanjaro boys,majengo sec
St. Merigoret, for girls, Kandoto sec. For girls iko same, na Bendel memoria for boys only ada kwa shule ya st. Merigoret na bendel si chini ya milion 2.5 kwa mwaka. Na shule zote hizi kwa matokeo yaliyopita ya kidato cha nne zipo kwenye 10 bora kimkoa na 20 bora kitaifa.
jaman wapendwa natafuta shule za binafsi za advance na ada zao kwa michepuo ya arts.nixaidien
St. Merigoret, for girls, Kandoto sec. For girls iko same, na Bendel memoria for boys only ada kwa shule ya st. Merigoret na bendel si chini ya milion 2.5 kwa mwaka. Na shule zote hizi kwa matokeo yaliyopita ya kidato cha nne zipo kwenye 10 bora kimkoa na 20 bora kitaifa.
..hyo bendel iko kwa wap..?
Upo wapi?
jinsia gani wewe mkuu?musoma!
samahan wandugu..nlikuwa naomba mwenye kujua shule nzur ya private kwenye combination ya EGM mkoa wa kilimanjaro anisaidie kuweka majina ya hzo shule apa na kama unajua na ada yake kwa mwaka itakuwa vizur zaid...n kwa ajil ya mdogo wangu wa kiume.
majengo sec hutajuta yuko brother lyimo pale ni balaa nlipita hapo six ilikuwa full kazi chini ya 65 somo lolote kwenu
jinsia gani wewe mkuu?
Kama upo MUSOMA nenda pale MUSOMA UTALII SECONDARY SCHOOL,IKIZU SECONDARY SCHOOL,MAKOKO SEMINARY,
nami naomba msaada kama huu pia kwa EGM na combination nyingine za science (CBG,PCM na PCB) kwa Mwanza au Shinyanga shule za private tafadhali
Below 65% mtu anarudi home hahahah mbona hata top 30 hamuingii inaonesha mitihani yenu rahisi sana
Na kwa bahati mbaya karibia zote wanafunzi wa kidato cha tano wameshaanza kwenda shule..
fuatilia matokeo ya miaka ya nyuma ndo utaijua majengo ilvyo