Shule nzuri ya advance combination ya EGM mji wa mosh..?private school


..asante bro..ngoja njaribu kufatilia..kwan matokeo yake huwa yapoje..?
 
Matokeo yake yako poa japo haijawahi ingia top ten,ila hatajuta kusoma pale hakuna msongamano class walimu wazuri na wazoefu na xul ipo 4km kutoka moshi bus stand na just 1km from main road( moshi dar- road) karibu sana,wasiliana na namba hiyo na waweza cheki results zao katika website ya necta.
 

..nashukuru bro kwa taarifa...nadhan ipo chn ya kanisa hyo shule...
 
..ada yake ikoje na pia matokeo yao huwaga wanaperform vp..?

Mkuu najua kwa O level inafikia 2.5, matokeo yk ni mazuri, jaribu na Tengeru boys lakini iko Arusha ni nzuri

au st amedeus iko Moshi vijijini nilisikia mwaka huu wataanza A level vizuri km uko Dar nenda msimbazi centre. Siku

nyingine ndugu ukitaka kutafuta shule uwe unaanza kutafuta mapema sasa hivi shule nyingi nzuri tayari nyingi

washafanya interview
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…