MATO GOODLUCK BILASI
Member
- Aug 24, 2013
- 30
- 1
- Thread starter
- #21
Moshi.......Ila hii haina kidato cha tano...Labda kama wameanza mwaka huu...
..nashukuru bro kwa taarifa..ngoja nijaribu kufatilia kama ina advance
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moshi.......Ila hii haina kidato cha tano...Labda kama wameanza mwaka huu...
mkuu kuna shule inaitwa zacharia secondary iko moshi mjini iko poa sana na ada yake ni ya kawaida sana,ni shule ya mchanganyiko ina kombi zote za arts na biashara. Kwa maelezo zaidi piga namba hii kwa uongozi wa shule. O786724840. I proud my self of being ex student of that school.
Moshi.......Ila hii haina kidato cha tano...Labda kama wameanza mwaka huu...
MWANZA kuna TAQWA SECONDARY, THAQAAFA SECONDARY,SHINYANGA >UNDER LAKE,MUHONGOLO EDUCATION CENTRE,
Matokeo yake yako poa japo haijawahi ingia top ten,ila hatajuta kusoma pale hakuna msongamano class walimu wazuri na wazoefu na xul ipo 4km kutoka moshi bus stand na just 1km from main road( moshi dar- road) karibu sana,wasiliana na namba hiyo na waweza cheki results zao katika website ya necta.
Mkuu bendel memorial advance ipo
Mlifanya nini cha maana?
sibishani na wewe huna akili na adabu pia
Shule yenu ya mchangani
..ada yake ikoje na pia matokeo yao huwaga wanaperform vp..?
jinsia gani wewe mkuu?
Kama upo MUSOMA nenda pale MUSOMA UTALII SECONDARY SCHOOL,IKIZU SECONDARY SCHOOL,MAKOKO SEMINARY,