shule nzuri ya boarding mikoani sio dar

DAVIES

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
516
Reaction score
90
wadau wa jukwaa hili habari za saa hizi
Naombeni mniambie shule nzuri ya boarding kwa mikoani
urgent please ambayo ina mazingira mazuri ya kusomea
natanguliza na shukrani zangu
 
Kwa Mtazamo Wangu Kuna Shule Ipo Moshi Inaitwa Vunjo Ni Shule Nzuri Na Mazingira Ya Kusoma Maana Ina Maktba Na Vitabu Vya Kutosha
 
Karibu coastal high school Tanga, walimu wazuri, mazingira bora ya kujisomea, vyumba vya kulala ni self contained na wanalala wanafunzi wawili chumba kimoja.. kwa maelezo zaidi piga 0714409843
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…