wadau wa jukwaa hili habari za saa hizi
Naombeni mniambie shule nzuri ya boarding kwa mikoani
urgent please ambayo ina mazingira mazuri ya kusomea
natanguliza na shukrani zangu
Karibu coastal high school Tanga, walimu wazuri, mazingira bora ya kujisomea, vyumba vya kulala ni self contained na wanalala wanafunzi wawili chumba kimoja.. kwa maelezo zaidi piga 0714409843
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.