Wadau eti shule ipi ni nzuri hapa dar au maeneo ya jirani nahitaji kumuhamishia mtoto.
Tusiime ada yao ni sh ngapi...na wanakubali kumuhamishia mtoto wa form 3?feza boys, alpha, tusiime, loyola, IST na zinginezo
mtoto ni jinsia gani mbona ujafafanua broo.
Mtoto ni wa kiume
Marian boys ina Ordinary level ipo pwani Bagamoyo.
Wanakuli kuhamishia ??...na ada yao ni kiasi gani kama utakua unajua
Wadau eti shule ipi ni nzuri hapa dar au maeneo ya jirani nahitaji kumuhamishia mtoto wa kiume
st. joseph millenium, ipo goba. ada ni 3.24m kwa mwaka.
Icheki St.Anthony's sec ipo mbagala.
Wadau eti shule ipi ni nzuri hapa dar au maeneo ya jirani nahitaji kumuhamishia mtoto wa kiume
Kidato gani?Pole, shule nzuri zote kwa sasa hawawezi kupokea mtoto wa kuhamia.Ukiona shule inapokea wahamiaji kipindi hiki hakika sio nzuri kivile.LAKINI KAMA UNAJIWEZA EBU FUATILIA LABDA ALPHA-Dar, Tusiime-Dar,ALHASAN MWINYI-Bagamoyo.Katı ya zote hizo TUSIIME ıs the best ukibahatika kupata chance.Mwanao awe smart lakini.