Shule nzuri ya O level hapa Dar na maeneo ya jirani

Shule nzuri ya O level hapa Dar na maeneo ya jirani

kiera

Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
29
Reaction score
5
Wadau eti shule ipi ni nzuri hapa dar au maeneo ya jirani nahitaji kumhamishia mtoto wa kiume.
 
feza boys, alpha, tusiime, loyola, IST na zinginezo
 
unaposema hapa dar unamaanisha WOTE TUNAISHI DAR?
 
st. joseph millenium, ipo goba. ada ni 3.24m kwa mwaka.
 
Wadau eti shule ipi ni nzuri hapa dar au maeneo ya jirani nahitaji kumuhamishia mtoto wa kiume

Kidato gani?Pole, shule nzuri zote kwa sasa hawawezi kupokea mtoto wa kuhamia.Ukiona shule inapokea wahamiaji kipindi hiki hakika sio nzuri kivile.LAKINI KAMA UNAJIWEZA EBU FUATILIA LABDA ALPHA-Dar, Tusiime-Dar,ALHASAN MWINYI-Bagamoyo.Katı ya zote hizo TUSIIME ıs the best ukibahatika kupata chance.Mwanao awe smart lakini.
 
Umemaliza mkuu
 
marian boys is the best of the best!!!...
 
Back
Top Bottom