Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini mtoto asome high school private wakati serikali ina inabshule nzuri?Msaada wa shule ya private kwa kidato cha tano kwa michepuo ya sayansi PCM na PCB.
Shule iwe ya bweni maeneo ya kibaha mlandizi au chalinze.
Ada iwe kati ya milioni moja mpaka milioni mbili na nusu.
Iko mkoa gani mkuuu na unapendelea shule za aina gani ,za kidini au zisizo za kidiniMsaada wa shule ya private kwa kidato cha tano kwa michepuo ya sayansi PCM na PCB.
Shule iwe ya bweni maeneo ya kibaha mlandizi au chalinze.
Ada iwe kati ya milioni moja mpaka milioni mbili na nusu.