Shule nzuri ya private kidato cha tano

Shule nzuri ya private kidato cha tano

hydroxo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
3,553
Reaction score
7,334
Msaada wa shule ya private kwa kidato cha tano kwa michepuo ya sayansi PCM na PCB.

Shule iwe ya bweni maeneo ya kibaha mlandizi au chalinze.

Ada iwe kati ya milioni moja mpaka milioni mbili na nusu.
 
Kwa nini mtoto asome high school private wakati serikali ina inabshule nzuri?

Chalinze kuna shule nzuri ya Private ada ni shilling million 7 kwa mwaka.

Unapopeleka mtoto high school ya serikali maana yake una pesa za mchezo.
 
Msaada wa shule ya private kwa kidato cha tano kwa michepuo ya sayansi PCM na PCB.

Shule iwe ya bweni maeneo ya kibaha mlandizi au chalinze.

Ada iwe kati ya milioni moja mpaka milioni mbili na nusu.
Iko mkoa gani mkuuu na unapendelea shule za aina gani ,za kidini au zisizo za kidini

Tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom