Shule nzuri ya wasichana..

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Heshima mbele wana JF...Nina mpwa wangu wa kike ( 12 years old ) anahitimu darasa la saba mwaka huu..Ninaomba mnisaidie kujua mambo makuu mawili yafuatayo ; MOSI : Nina taka baada ya kumaliza shule, apumzike kwa kama wiki mbili nyumbani then aanze kusoma PRE -FORM ONE..Ni shule gani au kituo gani cha elimu kambacho ni bora kwa PRE -FORM ONES?. PILI na kubwa kuliko, ninamtafutia nafasi kwenye shule nzuri na bora ya sekondari ya wasichana na ya bweni..Nimefanya research yangu ndogo nimetajiwa KIFUNGILO GIRLS ya Korogwe na MARIAN GIRLS ya Bagamoyo ..Naombeni mnisadie kujua ni shule ipi itamfaa mpwa wangu huyu.With much luv and appreciation.
 
Marian

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hata st francis girls mbeya ni nzuri, hapa ni uwezo wa mwanao ndo utakaofanya achaguliwe , hakuna rushwa watoto wanabehave , wanabidii na wanajua nini wanachofanya na ndio maana huwa wanaongoza kwa tanzania nzima toka shule imeanzishwa , kwa ushauri mlete hapa .
 
St teresa wa avila ipo mwanga ni nzuri pia wana pre form one



Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kama yuko vizuri darasani mpeleke Marian High School - Bagamoya
 
st christina girls high is perfect i just completed there my A level edu....
 
Tafuta shule hizi...
1. St. Mary Goret Kilimanjaro
2. Anwarite girls Kilimanjaro
3. Visitation Girls Kilimanjaro
4. Cannosa Girls Dar es Salaam
5. Precioud Blood girls Arusha
6. St.Marys Mazinde juu Tanga
7. Kibosho Girls Kilimanjaro
8. Kandoto Science Kilimanjaro
Zote hizo mwanao Lazima awe njema kichwani..
 
st francis girls,,marian girls,,st.marys mazinde juu,,cannosian girls,, hizi ndo shule bora sijui kifungilo,babro,mary goreth usisubutu ni ushauri tu,,
 
Shule bora kwa 'O' kwa miaka mitano mfululizo ni St Francis Girls' iliyopo Mbeya. Ila ili mwanao aende huko ni lazima awe na mlezi katika jiji la Mbeya. Zinazofuatia kwa ubora ni Marian Girls na St Mary's Mazinde Juu.
 
kama upo vizuri kipesa njoo Arusha kuna shule inaitwa preciousblood ni shule nzuri sana kwa watoto wa kike
 
marian,ila umkazanie hasa,maana kuipata ni mpaka afaulu vizuri test yao,nilimpeleka mdogo wangu siku ya interview,ni magari ya nguvu yamejaa,all in all wanaangalia ufaulu wa interview na siyo magari ya gharama
 

Hapo kwenye red ni shule nzuri sana kwa mtoto wa kike ipo Arusha maeneo USA RIVER(KILALA)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…