LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Heshima mbele wana JF...Nina mpwa wangu wa kike ( 12 years old ) anahitimu darasa la saba mwaka huu..Ninaomba mnisaidie kujua mambo makuu mawili yafuatayo ; MOSI : Nina taka baada ya kumaliza shule, apumzike kwa kama wiki mbili nyumbani then aanze kusoma PRE -FORM ONE..Ni shule gani au kituo gani cha elimu kambacho ni bora kwa PRE -FORM ONES?. PILI na kubwa kuliko, ninamtafutia nafasi kwenye shule nzuri na bora ya sekondari ya wasichana na ya bweni..Nimefanya research yangu ndogo nimetajiwa KIFUNGILO GIRLS ya Korogwe na MARIAN GIRLS ya Bagamoyo ..Naombeni mnisadie kujua ni shule ipi itamfaa mpwa wangu huyu.With much luv and appreciation.