Shule nzuri za Serikali kwa mchepuo wa PCB

Shule nzuri za Serikali kwa mchepuo wa PCB

yello masai

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
3,662
Reaction score
3,715
Salaam wana jukwaa.
Naomba kujua shule za A-Level (form 5 & 6) za serikali ambazo zinafanya vizuri katika combination ya PCB (Physics, Chemistry na Biology).

Binafsi tayari nazijua Tabora Boys, Ilboru, Mzumbe na Kibaha. Naomba kutajiwa nyingine zaidi.
 
Back
Top Bottom