Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Ndugu zangu habari za jioni ya leo?
Naomba kujua shule zipi nzuri za serikali zenye combination ya HGK,nina mdogo wangu anasoma Musoma sekondari,anaingia kidato cha sita mwezi wa SABA,naomba kujua pia taratibu zipi za kufuata ili apate UHAMISHO kwa wakati.?
Ninaposema shule nzuri nina maana ya miundo mbinu kama walimu,madarasa,vitendea kazi vingine viwe bora na kutosha hali kadhalika joigrafia iwe ni ile inayofikika kwa urahisi kutokana na mdogo wangu kuumwa mara kwa mara hivyo mahitaji ya huduma ya afya ya jirani ni muhimu pia.
Nitashukuru kwa majibu yenu.
Jinsia gan hiyo mdogo wako ila kama wakiume mpeleke Tukuyu secondary au Lufilyo High schoool zote zinapatikana Rungwe Mbeya.
Mlete Morogoro sec
Kwa kanda ya Ziwa,Nsumba n the best kwny iyo Combnatn.Jarib kuptia matokeo yake kwa miaka angalau minne then utanipa jbu.
Asante ndugu, naomba nipate utaratibu wa namna ya kufanya huo uhamisho.
Meta sec mbeya
Nsumba high school mwanza
Naomba mawasiliano ya Nsumba high school,namba ya simu.Asante
Baba ya arts tz ni MALANGALI SEC,iringa....mpeleke akakutane na VIBUNDI HATARI