Shule nzuri za Serikali za HGK.

Shule nzuri za Serikali za HGK.

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,273
Reaction score
13,567
Ndugu zangu habari za jioni ya leo?

Naomba kujua shule zipi nzuri za serikali zenye combination ya HGK,nina mdogo wangu anasoma Musoma sekondari,anaingia kidato cha sita mwezi wa SABA,naomba kujua pia taratibu zipi za kufuata ili apate UHAMISHO kwa wakati.?

Ninaposema shule nzuri nina maana ya miundo mbinu kama walimu,madarasa,vitendea kazi vingine viwe bora na kutosha hali kadhalika joigrafia iwe ni ile inayofikika kwa urahisi kutokana na mdogo wangu kuumwa mara kwa mara hivyo mahitaji ya huduma ya afya ya jirani ni muhimu pia.

Nitashukuru kwa majibu yenu.
 
Mlete Morogoro sec
 
Jinsia gan hiyo mdogo wako ila kama wakiume mpeleke Tukuyu secondary au Lufilyo High schoool zote zinapatikana Rungwe Mbeya.
 
Kwa kanda ya Ziwa,Nsumba n the best kwny iyo Combnatn.Jarib kuptia matokeo yake kwa miaka angalau minne then utanipa jbu.
 
Naomba mawasiliano yao tafadhali.
Wadau bado sijapata shule naomba msaada wenu wa kunijuza shule ya sekondari ya serikali yenye HGK.
Asanteni sana.

Baba ya arts tz ni MALANGALI SEC,iringa....mpeleke akakutane na VIBUNDI HATARI
 
Back
Top Bottom