shule popote

shule popote

Heri mwalimu huyu ambaye ameamua kufanya kazi katika mazingira magumu ili tu, wadogo zetu wapate kuelewa hata kusoma namba za magari za viongozi wachakachuaji.
 
Hawa wakichomoka na hatomaye phd huwa bahiri sana, hasa akikumbuka alikotoka.
 
Back
Top Bottom