Kuanzia miaka ya 2000 kushuka chini shule za Umma zilikua na thamani sana,kuliko za Binafsi,yaani mwanafunzi aliyekua shule ya Binafsi alikua anaonekana uwezo wake ulikua mdogo,wazazi walifanya kila mbinu unaamishiwa shule za Umma,lakini sasa mambo yamegeuka unachaguliwa shule za umma wazazi wanakuamisha uende shule za Binafsi ni Tatizo yaani ata zile shule maarufu haziaminiki sana
Zamani shule za Binafsi zilizoaminika ni za misheni tu
***Angalizo hii Hali tusihiruhusu ihamie vyuo vyukuu vya Umma hali itakua mbaya sana kama shule za Umma
"Vox popoli vox dei"
wewe shule sio sawa na chuo..shule za private zinafanya mbinu wanafunzi wake wafaulu(ikiwemo kuiba mitihani)na kuwapa wanafunzi wao..so unafkir na vyuo vya private vifanye hivyo pia..wawape paper wanafunzi wasidisco..??au wapate GPA kubwa??mm mwenyewe nilisoma st matthew's so najua hujuma zote wanazofanya ili shule iendelee kuwa juu..
ckatai..hatuibi paper but kuna mbinu nyingi..
ckatai..hatuibi paper but kuna mbinu nyingi..
ckatai..hatuibi paper but kuna mbinu nyingi..
nini tufanye ili eshima isiondoke,maana huko mbele naona hali si mzuri au "big result now"
Kwa vigezo vyako unaweza pata PCB wanne kwa kizazi hiki cha MulugoHALAFU VIGEZO VIONGEZWE HUSUSAN KWA KOMBI ZA PCB NA HGL, MFANO MWAKA2010, KULIKUWA NA HGL WENYE POINT 6 YAANI B B B/ACB, NA Pcb WENYE POINT 5 Yaani AAC /BBA,, NASHAURI H .G.L WAISHIE POINT 5 YAANI ABB/CAA, NA PCB WACHUKUE MWISHO POINT 4 Yaani AAB
wewe shule sio sawa na chuo..shule za private zinafanya mbinu wanafunzi wake wafaulu(ikiwemo kuiba mitihani)na kuwapa wanafunzi wao..so unafkir na vyuo vya private vifanye hivyo pia..wawape paper wanafunzi wasidisco..??au wapate GPA kubwa??mm mwenyewe nilisoma st matthew's so najua hujuma zote wanazofanya ili shule iendelee kuwa juu..
UMEKIRI HUWA MNAIBA MITIHANI, DIVISION 1.5 Ya st.mathew ni sawa na ii.12 ya mwanafunzi wa ilboru
ckatai..hatuibi paper but kuna mbinu nyingi..