Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,422
- 7,350
Kuanzia miaka ya 2000 kushuka chini shule za Umma zilikua na thamani sana,kuliko za Binafsi,yaani mwanafunzi aliyekua shule ya Binafsi alikua anaonekana uwezo wake ulikua mdogo,wazazi walifanya kila mbinu unaamishiwa shule za Umma,lakini sasa mambo yamegeuka unachaguliwa shule za umma wazazi wanakuamisha uende shule za Binafsi ni Tatizo yaani ata zile shule maarufu haziaminiki sana
Zamani shule za Binafsi zilizoaminika ni za misheni tu
***Angalizo hii Hali tusihiruhusu ihamie vyuo vyukuu vya Umma hali itakua mbaya sana kama shule za Umma
"Vox popoli vox dei"
Zamani shule za Binafsi zilizoaminika ni za misheni tu
***Angalizo hii Hali tusihiruhusu ihamie vyuo vyukuu vya Umma hali itakua mbaya sana kama shule za Umma
"Vox popoli vox dei"