Shule ya advance

lawrenc titus

New Member
Joined
May 20, 2015
Posts
2
Reaction score
0
jamani naomba kuuliza ni shule gani ya boarding ya boys tu iliyonzuri kwa mchepuo wa PCB ukiachana na mzumbe,kibaha,minaki na feza
 
jamani naomba kuuliza ni shule gani ya boarding ya boys tu iliyonzuri kwa mchepuo wa PCB ukiachana na mzumbe,kibaha,minaki na feza

Advance ni wewe tu, labda ungesema yenye laboratory nzuri.
 
Tabora Boys,Ilboru ,Marian Boys..
 
mkuu hapo bora za private kama hiyo Feza, ila huko kibaha,minaki sijui Ilboru na nyingine za serikali ni jitihada yako tu, bora usome mikoa ya dar au pwani maana unakuwa karibu na twisheni nyingi... na competition ni kubwa hivyo ndio maana watu wanafaulu sana hayo masomo.
 
Usimwongope dogo tution za dar ni utapeli tu, kiufupi kama una ndugu zako au jirani aliyepia pcb mfuate ukate topic mapemaaaa! game tough dogo!
 
Usimwongope dogo tution za dar ni utapeli tu, kiufupi kama una ndugu zako au jirani aliyepia pcb mfuate ukate topic mapemaaaa! game tough dogo!

Dar twisheni nyingi,ukitapeliwa ni uzembe. . . kuna twisheni wanafundisha vizuri kuliko hata mashuleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…