lawrenc titus
New Member
- May 20, 2015
- 2
- 0
jamani naomba kuuliza ni shule gani ya boarding ya boys tu iliyonzuri kwa mchepuo wa PCB ukiachana na mzumbe,kibaha,minaki na feza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani naomba kuuliza ni shule gani ya boarding ya boys tu iliyonzuri kwa mchepuo wa PCB ukiachana na mzumbe,kibaha,minaki na feza
mkuu hapo bora za private kama hiyo Feza, ila huko kibaha,minaki sijui Ilboru na nyingine za serikali ni jitihada yako tu, bora usome mikoa ya dar au pwani maana unakuwa karibu na twisheni nyingi... na competition ni kubwa hivyo ndio maana watu wanafaulu sana hayo masomo.
Usimwongope dogo tution za dar ni utapeli tu, kiufupi kama una ndugu zako au jirani aliyepia pcb mfuate ukate topic mapemaaaa! game tough dogo!