Ni kina nani hao? kwenye lugha adhimu ya kiswahili hatuna matumizi ya herufi Q.Unawajua istiqaama au unawasikia!!.. hizi ni hujuma
Unavyohisi nani kayapanga?Huu ni mwendelezo wenye kutia mashaka sana.
Yaani kuanzia mwezi April mpaka September kuna zaidi ya shule tano za kiislamu zimeteketea kwa moto. Binafsi ninaamini haya sio matukio ya bahati mbaya (Accident) huenda ni matukio ya kupangwa!
Ni jambo la kawaida kabisa kwa sababu yanatokea maeneo tofauti tofauti.Embu waza tu.
1. Ni matukio ya mfululizo.
Wataka za Kikristo na Serikali nazo ziungue ili uwepo usawa?2. Ni shule za kiislamu tu.
Una hakika mkuu?3. Hakuna uchunguzi wowote wa kina.
Sasa ripoti itatoka wapi na umeshaandika hakuna uchunguzi wa kina?4. Hakuna ripoti yoyote kuhusu chanzo.
Watatoka wapi kiongozi na uchunguzi umeandika haupo?5. Hakuna wahusika waliochukuliwa hatua.
Mimi mpumbavu wewe ni fala.Wr jamaa m.pumbavu kweli
Sasa huku umeingia kwenye field yangu usitake nikuingize darasani tafadhali jikite tu kwenye kuhisihisi chanzo cha hiyo mioto.Moto naujua vizuri sana hapa Kuna hadi nyumba za nyasi zina umeme hatusikii hayo mambo...
Sileti udini, kinachonishangaza ni ujinga wa hali ya juu ambao watu wengi wako nao.Unaleta udini usimezwe kiasi hicho kwahyo na hizo shule mbili za kikristo zilizoungua nazenyewe Chanzo chake utasema ni nini
Sema unikumbushe Mkuu Ila nimefanya kazi ya Moto kwa miaka mingi na maeneo tofauti nimeizunguka dunia kwa sababu ya Moto...Sasa huku umeingia kwenye field yangu usitake nikuingize darasani tafadhali jikite tu kwenye kuhisihisi chanzo cha hiyo mioto.
Kwa kuwa ni fikira sawa, hebu fikiria ikiwa ni issue ya mapungufu katika ujenzi ni kwa nini haya matukio yatokee shule za kiislamu tu? Tulianza Dar, Kagere na leo Tabora. Mimi nadhani kuna jambo liko nyuma haya matukio na linaweza kuwa katika namna mbili, Moja kuna watu wajaribu kuhujumu hizi shule kwa malengo yao binafsi. Au taasisi yenyewe kwa kushirikiana na vikundu mbalimbali kuwamua kufanya hivi ili kupata huruma ya watu fulani na hatimaye kuungwa mkono ikionekana wanaonewa. Ni mtazamo tu piaNina mashaka pamoja na mapungufu katika ujenzi, yanayoweza kuleta, hitilafu za umeme n.k.
Nahisi huku nikifikiria nyuma ya keyboard, huenda kuna ubadhirifu mkubwa wa ujenzi, na wahusika, wameamua kuchomoa betri kupoteza ushahidi, au ni mbinu njama, ya kutafuta misaada at the expense of innocent childrens' lives..
Something is fishy! Too fishy!
Everyday is Saturday............................. 😎
Wazi lako limenifikirisha sana. Na kama kweli ni hao jamaa, basi kazi ipo kuweza kuwabaini kwani wamejizatiti haswa.Isije ikawa kuna Boko Haram ya Bongo isiyoamini mfumo wa kupata Elimu Dunia kwa watoto wa Kiislam! Ni vyema mamlaka husika zikaacha kufanya kazi kwa mazoea.
Waingie kazini kufanya uchunguzi wa kina na matokeo ya huo uchunguzi yawekwe hadharani ili Wananchi wote tujue chanzo cha hayo yote. Kuendelea kushuhudia vifo vya watoto wetu na uharibifu mkubwa wa mali, ni jambo lisilo vumilika hata kidogo.
Wasiwasi wangu ni kwamba tukianza kusingizia mabeberu hatutaweza kutatua tatizo linalotusibu. Neno mabeberu linatumiwa sasa katika kipindi hiki na aghalabu katika masuala ya kisiasa. Mkishindana kisiasa kila mmoja anaishia kumuita mwenzake kwamba ni beberu. Hebu tujiulize kwanza, hivi beberu, kuacha yule mbuzi dume, ni nani hasa?Binafsi naamini ni hila za mabeberu na si kwa shule za kiislam tu wanaweza pia kufanya hivyo mahospitalini makanisani au popote
Mfano huko uarabuni wanalipua misikiti
Ila naamin serikali yetu sikivu ipo kazini
Sasa hivi wameamua moto ni kwenye shule za Kiislam tu?
Tupo kwenye kampeni. Mambo yote poa hadi baada ya uchaguzi ndio tutumie intelijensia yetu kupata majibu muafaka.Wala haifikirishi, jiulize kwanini wenye mamlaka wapo kimya tu as if hakuna jambo lolote lilitokea.
Wahusika ni hao maccmTupo kwenye kampeni. Mambo yote poa hadi baada ya uchaguzi ndio tutumie intelijensia yetu kupata majibu muafaka.
Itakua akili za kiislam hizoKwa hiyo unataka ziungue shule kwa usawa?
Wewe mzima kweli?
DaaahDah... Mbona inafikirisha sana, sii juzi tu hapa!
Wanakuambia Boko Haram Ni Kikundi Cha Marekani kilichoundwa kwa ajili ya kupora mafuta NigeriaIsije ikawa kuna Boko Haram ya Bongo isiyoamini mfumo wa kupata Elimu Dunia kwa watoto wa Kiislam! Ni vyema mamlaka husika zikaacha kufanya kazi kwa mazoea.
Waingie kazini kufanya uchunguzi wa kina na matokeo ya huo uchunguzi yawekwe hadharani ili Wananchi wote tujue chanzo cha hayo yote. Kuendelea kushuhudia vifo vya watoto wetu na uharibifu mkubwa wa mali, ni jambo lisilo vumilika hata kidogo.