funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Tuusikie huu ujumbe wa kiungwana kutoka Kenya
Kuna jambo jingine linaendelea katika Kenya tukiwa hapa lazima tuwaeleze kuna ile siasa ya kila wakati, unaona juzi Wakenya wengi walienda Tanzania na mimi ni msomi kwa mambo ya kigeni. Naelewa sana, sisi Wakenya tupo hapa kwa sababu kuna Demokrasia na kuna taratibu ya Demokrasia, kuna utaratibu wa ujirani mwema ni sharti tuheshimu ujirani mwema kwa ndugu zetu wa Tanzania ukiwashimu tutaheshimika