clemence mtei
Senior Member
- Feb 11, 2014
- 101
- 24
Natafuta shule ya advance kwa mchepuo wa HGE ambayo itakubali masharti ya kusoma wiki mbili na wiki mbili nyngne job kila mwezi kwa miaka miwil ada ni frsh haina usumbufu, shule iwe Dar na iwe ya kutwa.
Asante
Asante