DOKEZO Shule ya Lucas Malia Lindi imekataa kupokea wanafunzi wa Kike walioripoti kwa kuchelewa. Siku ya pili sasa wanalala mitaani bila kujua hatma yao

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Status
Not open for further replies.
Fundisha mwenyewe nyumbani kwako. Na kama ni biashara, si peleka pesa yako kwingine
 
Shule sio jeshi, utaachaje mtoto wa kike alale mtaani kwa ajili ya sheria za shule?
Kwanini wasiwapokee na wawaite wazazi wao waje kuwachukua?
Usitetee upumbuvu...utu kwanza sheria baadae
Kwani aliyewapandisha basi hakujua sheria za shule? Kwanini shule ipewe majukumu yasiyo ya kwake? Wazazi wakachukue watoto wao
 
Swali linauliza wakati unawalamba makofi wao watakuwa wanakuangalia tu? jibu swali acha kuendelea kuonesha ujinga wako.
 
Sasa kwa nini uwapeleke shule na una pesa? kaa nao hom hizo pesa ziwafundishe zitawaheshimu. Kwani umelazimishwa kuwapelekea walimu watoto wako? Na watu kama nyie ndio Vitoto vyenu huwa vinaishia Kuliwa na maticha. Mna midomo sana na ukute hata hyo pesa ya kupeleka watoto prvt schools huna.
 
Fundisha mwenyewe nyumbani kwako. Na kama ni biashara, si peleka pesa yako kwingine
Alafu Mwl. Ujue tabia mlionayo huku chini inaathiri hadi vyuoni? Yaani unakuta mtu kasomea hadi Kawa lecturer, maumivu ya kunyanyaswa huku msingi na sec, anatesa na watoto wenu huko vyuoni. Hakika tabia za rushwa ya Ngono ni moja ya matokeo ya unyanyasaji ktk shule za msingi, kwa vile kule hamna fimbo, fimbo yao ni rushwa za namna hiyo. Mngejua kuwa kuwa wema kwa watoto Kuna impact kubwa msingefanya ufedhuli wenu... Maana watoto ukiwa penda na kuwaelekeza kama binadamu hujenga Ari ya utu ktk Maisha yao yote... Acheni roho za kutu, na msidhani kuwa watoto wenu mtasomesha sebuleni... Watapita huku wafanyiwe ufedhuli.. Maana apandacho mtu huvuna!
 
Unaandika mambo mengi sana, lakini unachotetea ni ujinga. Watanzania tujifunze kufuata taratibu, ukiambiwa leta mtoto tar 10, ukimpeleka tar 11 usilalamike shule ikikataa. Kuwapenda watoto sio kuwaruhusu wafanye makosa. Hapa wenye shida ni wazazi, wakachukue watoto wao, over! Tusiendekeze irresponsible behaviours.
 
Sawa na Ualimu wako wa karne, ndio maana mna Alisha viongozi wasio na utu, wanatuuzia bandari zetu, komaeni na principle za Ualimu za punishment wakati we zenu wako ktk discipline... 😁 πŸ™
 
Shule iko sahihi wanaume mahawara zao waliowaweka ndani hadi kuchelewa kuripoti waende nao kwa wazazi wao waende nao wakawaeleze huko sio shuleni


Warudi kwao na hao hawara zao
 
Sawa na Ualimu wako wa karne, ndio maana mna Alisha viongozi wasio na utu, wanatuuzia bandari zetu, komaeni na principle za Ualimu za punishment wakati we zenu wako ktk discipline... 😁 πŸ™
Fuata utaratibu....inawezakana hao wanafunzi waliondoka nyumbani mapema lakini wakaenda kwa "Baba Jose Muuza Mkaa". Wanaogopa nini kuwasiliana na wazazi?
 
Je kwanini mtoto alale nje?
Alichelewa wapi? Alale kwa mabwana zake mahawara huko achelewe ndio shule ihangaike naye kumpokea katoka kwa mahawara huko

Arudi kwa wazazi wake huko .Shule ipokee.waliowahi tu .Waliochelewa waliowachelewesha waende kuwachukua huko nje
 
Sawa lakini kumlaza nje mtoto wa sekondali Tena wa kike pia ni ujinga wa walimu inamaana wamekosa njia nyingine ya kotoa adhabu?
Kumchelewesha kumfikisha mtoto wa kike ukiwa naye kama hawara ukitarajia shule itampokea mtoto huyo wa kike sio rahisi

Shule zinazojielewa huwa hazikubali.kupokea mtoto.wa kike anayechelewa kuripoti

Wewe kama una mtoto wa kike usije leta mchezo kwenye hilo.mtoto wa kike lazima aripoti on time
 
Kichwa cha habari cha kibaguzi.... Huu uwana harakati una haribu maadili... Mtoa mada ungesema wanafunzi tu bila kutaja jinsia ungepungukiwa nini? Maana ya bandiko lako ni kwamba wanafunzi wakike ndio wanafunzi ila wakiume sio?
 
Wasichana si wa mchezo michezo! Hahaha!!! Unakuta mtoto aliwahi kuaga kwenda shule, alipofika Lindi mjini akawekwa gheto, kwenda shule akazuiliwa kuingia, na mshkaji ndio wanatoa tuhuma kwa shule humu. Ni maoni yangu tu wadau.
 
Warud om wakawalete wazazi shida ipo wapi hapo
Yani hata mimi nashindwa kuelewa. Watoto wako nje ya shule kama mtu ni mzazi kweli na anajua kilichomchelewesha bintiye, anashidwa nini kwenda kuonana na walimu hili jambo liishe? Maana kuna watoto ni pasua kichwa kweli, anaondoka leo nyumbani, anakaa kwa boy friend siku 4 ndio anaenda shule. Uongozi wa shule unajaribu kuwabana... mzazi haelewi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…