Alafu Mwl. Ujue tabia mlionayo huku chini inaathiri hadi vyuoni? Yaani unakuta mtu kasomea hadi Kawa lecturer, maumivu ya kunyanyaswa huku msingi na sec, anatesa na watoto wenu huko vyuoni. Hakika tabia za rushwa ya Ngono ni moja ya matokeo ya unyanyasaji ktk shule za msingi, kwa vile kule hamna fimbo, fimbo yao ni rushwa za namna hiyo. Mngejua kuwa kuwa wema kwa watoto Kuna impact kubwa msingefanya ufedhuli wenu... Maana watoto ukiwa penda na kuwaelekeza kama binadamu hujenga Ari ya utu ktk Maisha yao yote... Acheni roho za kutu, na msidhani kuwa watoto wenu mtasomesha sebuleni... Watapita huku wafanyiwe ufedhuli.. Maana apandacho mtu huvuna!