Juzi nimeshuhudia unyama ndani ya shule ya msingi MINAZI MIREFU-UKONGA mwanafunzi akiburuzwa na wanafunzi wenzake kwa kuvutwa na kupelekwa darasa la C ni darasa la watu wasio jiweza kabisa kiakiri na kipesa,baada ya kukosa kutoa hela ya speed test ndipo mwalimu alipo amuru wanafunzi wenzake kumzomea na kumburuza darasa C,na katika upelelezi wangu nikagundua ni mchezo wa mara kwa mara kwa shule hizi jirani,michango ni mingi sana,na usipochanga nikipigo mtindo mmoja,kuna michango ya kuaga walimu wanaostafu 400/= usipotoa ni kipigo,is not fair